Jeremiah 50:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, “kwa kuwa siku yako imewadia, yaani wakati wako wa kuadhibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi ni juu yako, Ewe mwenye kiburi, asema Bwana, Bwana wa majeshi; maana siku yako imewadia, wakati nitakapokujilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama, niko kinyume nawe, Ewe mwenye majivuno,” asema Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, “kwa kuwa siku yako imewadia, yaani, wakati wako wa kuadhibiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” asema Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, “kwa kuwa siku yako imewadia, yaani, wakati wako wa kuadhibiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi ni juu yako, Ewe mwenye kiburi, asema Bwana, BWANA wa majeshi; maana siku yako imewadia, wakati nitakapokujia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, napigana nawe ewe mwenye kiburi, maana siku yako ya adhabu imefika, wakati nitakapokuadhibu umewadia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana Mungu Mwenye vikosi: Utaniona, nikikujia, wewe mkorofi; kwani itakuja siku yako, nitakapokupatiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi ni juu yako, Ewe mwenye kiburi, asema Bwana, BWANA wa majeshi; maana siku yako imewadia, wakati nitakapokujilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi, ninapigana nawe, ewe mwenye kiburi. –Ni ujumbe wa Bwana wa wote, Yawe wa majeshi.– Maana siku yako ya azabu imefika, wakati nitakapokuazibu umetimia.