Jeremiah 50:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka, wala hapatakuwa na mtu wa kumwinua. Nitawasha moto katika miji yake, nao utateketeza kila kitu kandokando yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye majivuno atajikwaa na kuanguka, wala hakuna yeyote atakayemuinua; nitawasha moto katika miji yake, utakaowateketeza wote wanaomzunguka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwenye kiburi atajikwaa, na kuanguka, wala hapana atakayemwinua; nami nitawasha moto katika miji yake, nao utawala wote wamzungukao pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka, wala hapatakuwa na mtu wa kumwinua. Nitawasha moto katika miji yake, nao utateketeza kila kitu kandokando yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye majivuno atajikwaa na kuanguka, wala hakuna ye yote atakayemuinua; nitawasha moto katika miji yake, utakaowateketeza wote wanaomzunguka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye majivuno atajikwaa na kuanguka, wala hakuna yeyote atakayemuinua; nitawasha moto katika miji yake, utakaowateketeza wote wanaomzunguka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwenye kiburi atajikwaa, na kuanguka, wala hapana atakayemwinua; nami nitawasha moto katika miji yake, nao utawala wote wamzungukao pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka, wala hapatakuwa na mtu wa kumwinua. Nitawasha moto katika miji yake, nao utateketeza kila kitu kandokando yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mkorofi atakapojikwaa, aanguke, lakini hatakuwako atakayemwinua; mijini mwake nitawasha moto, uiteketeze yote pande zake zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwenye kiburi atajikwaa, na kuanguka, wala hapana atakayemwinua; nami nitawasha moto katika miji yake, nao utawala wote wamzungukao pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka, wala hakutakuwa mutu wa kumwinua. Nitawasha moto katika miji yake, nao utateketeza kila kitu kandokando yake.