Jeremiah 50:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kifo kwa Wakaldayo, kwa wakazi wa Babuloni na maofisa na wenye hekima wake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Upanga dhidi ya Wakaldayo!” asema Mwenyezi Mungu, “dhidi ya wale wanaoishi Babeli, na dhidi ya maafisa wake na wenye busara!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upanga u juu ya Wakaldayo, asema Bwana, na juu yao wakaao Babeli, na juu ya wakuu wake, na juu ya watu wake wenye hekima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kifo kwa Wakaldayo, kwa wakazi wa Babuloni na maofisa na wenye hekima wake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Upanga dhidi ya Wakaldayo!” asema BWANA, “dhidi ya wale waishio Babeli na dhidi ya maafisa wake na watu wenye busara!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Upanga dhidi ya Wakaldayo!” asema bwana, “dhidi ya wale waishio Babeli na dhidi ya maafisa wake na watu wenye busara!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upanga uko juu ya Wakaldayo, asema BWANA, na juu yao wakaao Babeli, na juu ya wakuu wake, na juu ya watu wake wenye hekima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kifo kwa Wakaldayo, kwa wakazi wa Babuloni na maofisa na wenye hekima wake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Panga na ziwajie Wakasidi nao wakaao Babeli nao wakuu wao nao werevu wao wa kweli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upanga u juu ya Wakaldayo, asema BWANA, na juu yao wakaao Babeli, na juu ya wakuu wake, na juu ya watu wake wenye hekima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upanga ukuwe juu ya Wakaldea, juu ya wakaaji wa Babeli na wakubwa na wenye hekima wake! –Ni ujumbe wa Yawe.–