Jeremiah 50:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukame juu ya maji yake! Nayo yatakauka. Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukosefu wa mvua u juu ya maji yake, nayo yatakaushwa; maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa, nao wameingiwa na wazimu kwa ajili ya sanamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukame juu ya maji yake! Nayo yatakauka. Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, wao wanapenda sana sanamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukame juu ya maji yake! Nayo yatakauka. Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukosefu wa mvua uko juu ya maji yake, nayo yatakaushwa; maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa, nao wameingiwa na wazimu kwa ajili ya sanamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukame uyapate maji ili yapate kukauka! Maana Babuloni ni nchi ya sanamu za miungu, watu ni wendawazimu juu ya vinyago vyao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua kali na liyapige maji yao, yakauke! Kwani nchi hii ni ya vinyago, nao wenyeji wameingiwa na wazimu kwa ajili ya mifano yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukosefu wa mvua u juu ya maji yake, nayo yatakaushwa; maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa, nao wameingiwa na wazimu kwa ajili ya sanamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua kali liyapige maji, kusudi yapate kukauka! Maana Babeli ni inchi inayojaa sanamu za miungu, watu ni wenda-wazimu kwa sababu ya miungu yao.