Jeremiah 50:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi wanaamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia, watu wanakuja watokao kaskazini; na taifa kubwa, na wafalme wengi wataamshwa toka pande za mwisho za dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi wameamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi wanaamshwa kutoka miisho ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia, watu wanakuja watokao kaskazini; na taifa kubwa, na wafalme wengi wataamshwa toka pande za mwisho za dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona, watu wakija toka kaskazini, tena taifa kubwa na wafalme wengi watainuka mapeoni kwa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, watu wanakuja watokao kaskazini; na taifa kubwa, na wafalme wengi wataamshwa toka pande za mwisho za dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie! Watu wanakuja toka inchi ya kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi linajitayarisha kutoka mbali kwa miisho ya dunia.