Jeremiah 50:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kishindo cha kutekwa kwa Babuloni dunia itatetemeka, na kilio chake kitasikika miongoni mwa mataifa mengine.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sauti ya kutekwa kwa Babeli, dunia itatetemeka; kilio chake kitasikika pote miongoni mwa mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa mshindo wa kutwaliwa Babeli nchi yatetemeka, Na kilio chake chasikiwa katika mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kishindo cha kutekwa kwa Babuloni dunia itatetemeka, na kilio chake kitasikika miongoni mwa mataifa mengine.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kusikika kutekwa kwa Babeli, dunia itatetemeka; kilio chake kitaenea pote miongoni mwa mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sauti ya kutekwa kwa Babeli, dunia itatetemeka; kilio chake kitasikika pote miongoni mwa mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kishindo cha kutwaliwa Babeli nchi itatetemeka, Na kilio chake chasikiwa katika mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kishindo cha kutekwa kwa Babuloni dunia itatetemeka, na kilio chake kitasikika miongoni mwa mataifa mengine.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mtutumo wa kutekwa kwa Babeli nchi itatetemeka, navyo vilio vitasikilika kwa mataifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa mshindo wa kutwaliwa Babeli nchi yatetemeka, Na kilio chake chasikiwa katika mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kishindo cha kutekwa kwa Babeli, dunia itatetemeka, na kilio chake kitasikilika kati ya mataifa mengine.