Jeremiah 50:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kimbieni kutoka Babeli; ondokeni katika nchi ya Wakaldayo, kuweni kama mbuzi wale waongozao kundi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kimbieni kutoka kati ya Babeli, mkatoke katika nchi ya Wakaldayo, mkawe kama mabeberu mbele ya makundi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kimbieni kutoka Babeli; ondokeni katika nchi ya Wakaldayo tena iweni kama mbuzi wale waongozao kundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kimbieni kutoka Babeli; ondokeni katika nchi ya Wakaldayo tena kuweni kama mbuzi wale waongozao kundi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kimbieni kutoka kati ya Babeli, mkatoke katika nchi ya Wakaldayo, mkawe kama mabeberu mbele ya makundi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kimbieni kutoka Babuloni! Tokeni nje ya nchi ya Wakaldayo, muwe kama mabeberu mbele ya kundi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kimbieni, mwutoke mji wa Babeli, mliomo! Itokeni nayo nchi ya Wakasidi, mwe kama madume ya kondoo wanaoyatangulia makundi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kimbieni kutoka kati ya Babeli, mkatoke katika nchi ya Wakaldayo, mkawe kama mabeberu mbele ya makundi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukimbie kutoka Babeli! Mutoke inje ya ile inchi ya Wakaldea, mukuwe kama mabeberu mbele ya kundi.