Jeremiah 51:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mwenyezi Mungu amethibitisha haki yetu; njooni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, amefanya.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameitokeza haki yetu; Njoni, tutangaze katika Sayuni Habari za kazi ya Bwana, Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘BWANA amethibitisha haki yetu; njoni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho BWANA Mungu wetu amefanya.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘ bwana amethibitisha haki yetu; njooni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho bwana Mwenyezi Mungu wetu amefanya.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameitokeza haki yetu; Njooni, tutangaze katika Sayuni Habari za kazi ya BWANA, Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia. Twendeni Siyoni tukatangaze matendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ameyatokeza, ya kuwa mambo yetu yameongoka; njoni, tusimulie Sioni, Bwana Mungu wetu aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameitokeza haki yetu; Njoni, tutangaze katika Sayuni Habari za kazi ya BWANA, Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amehakikisha kwamba hatuna kosa. Tuende Sayuni tutangaze matendo ya Yawe, Mungu wetu.