Jeremiah 51:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi hiyo imejaa mito na hazina tele, lakini mwisho wake umefika, uzi wa uhai wake umekatwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe uishiye kando ya maji mengi na uliye na wingi wa hazina, mwisho wako umekuja, wakati wako wa kukatiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ewe ukaaye juu ya maji mengi, uliye na hazina nyingi, mwisho wako umewadia, kadiri ya tamaa zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi hiyo imejaa mito na hazina tele, lakini mwisho wake umefika, uzi wa uhai wake umekatwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe uishiye kando ya maji mengi na uliye na wingi wa hazina, mwisho wako umekuja, wakati wako wa kukatiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe uishiye kando ya maji mengi na uliye na wingi wa hazina, mwisho wako umekuja, wakati wako wa kukatiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ewe ukaaye juu ya maji mengi, uliye na hazina nyingi, mwisho wako umewadia, kadiri ya tamaa zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi hiyo imejaa mito na hazina tele, lakini mwisho wake umefika, uzi wa uhai wake umekatwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unakaa penye maji mengi, unavyo vilimbiko, lakini mwisho wako umefika, ndipo hapo palipopimiwa choyo chako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ewe ukaaye juu ya maji mengi, uliye na hazina nyingi, mwisho wako umewadia, kadiri ya tamaa zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi hiyo imejaa mito na akiba tele, lakini mwisho wake umefika, uzi wa uzima wake umekatwa.