Jeremiah 51:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hazina thamani, ni udanganyifu mtupu; wakati watakapoadhibiwa, nazo zitaangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni ubatili tu, vitu vya kufanyia mzaha; wakati wa hukumu yao, wataangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni ubatili tu, ni kazi za udanganyifu; Wakati wa kujiliwa kwao watapotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hazina thamani, ni udanganyifu mtupu; wakati watakapoadhibiwa, nazo zitaangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hazifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha, hukumu yao itawadia, zitaangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha, hukumu yavyo itakapowadia, vitaangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni ubatili tu, ni kazi za udanganyifu; Wakati wa kujiliwa kwao watapotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hazina thamani, ni udanganyifu mtupu; wakati watakapoadhibiwa, nazo zitaangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Havina maana, ni kazi ya kuchekwa tu; siku vitakapopatilizwa huangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni ubatili tu, ni kazi za udanganyifu; Wakati wa kujiliwa kwao watapotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hazina maana, ni udanganyifu mutupu; wakati watakapoazibiwa, nazo zitaangamia.