Jeremiah 51:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu aliye hazina ya Yakobo si kama hizo, maana yeye ndiye aliyeviumba vitu vyote, na Israeli ni kabila lililo mali yake; Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, ndilo jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye Aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, pamoja na kabila la urithi wake: Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye, Fungu la Yakobo, siye kama hawa; Maana ndiye aliyeviumba vitu vyote; Na Israeli ni kabila ya urithi wake; Bwana wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu aliye hazina ya Yakobo si kama hizo, maana yeye ndiye aliyeviumba vitu vyote, na Israeli ni kabila lililo mali yake; Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, ndilo jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye Aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, kwa maana yeye ni Muumba wa vitu vyote, pamoja na kabila la urithi wake: BWANA Mwenye Nguvu Zote ndilo ni jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye Aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, pamoja na kabila la urithi wake: bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye, Fungu la Yakobo, siye kama hawa; Maana ndiye aliyeviumba vitu vyote; Na Israeli ni kabila la urithi wake; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu aliye hazina ya Yakobo si kama hizo, maana yeye ndiye aliyeviumba vitu vyote, na Israeli ni kabila lililo mali yake; Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, ndilo jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini aliye fungu lake Yakobo hafanani navyo, kwani yeye ndiye aliyeyatengeneza yote, naye Isiraeli ni ukoo uliopata fungu kwake; Bwana Mwenye vikosi ni Jina lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye, Fungu la Yakobo, siye kama hawa; Maana ndiye aliyeviumba vitu vyote; Na Israeli ni kabila ya urithi wake; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anayekuwa hazina ya Yakobo si kama hizo, maana yeye ndiye aliyeviumba vitu vyote, na Israeli ni kabila linalokuwa mali yake; Yawe wa majeshi, ndilo jina lake.