Jeremiah 51:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wewe Babuloni ni rungu na silaha yangu ya vita; nakutumia kuyavunjavunja mataifa, nakutumia kuangamiza falme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wewe ndiwe rungu langu la vita, silaha yangu ya vita: kwa wewe navunjavunja mataifa, kwa wewe naangamiza falme,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunja-vunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wewe Babuloni ni rungu na silaha yangu ya vita; nakutumia kuyavunjavunja mataifa, nakutumia kuangamiza falme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wewe ndiwe rungu langu la vita, silaha yangu ya vita kwa wewe navunjavunja mataifa, kwa wewe naangamiza falme,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wewe ndiwe rungu langu la vita, silaha yangu ya vita: kwa wewe navunjavunja mataifa, kwa wewe naangamiza falme,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ni rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunjavunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wewe Babuloni ni rungu na silaha yangu ya vita; nakutumia kuyavunjavunja mataifa, nakutumia kuangamiza falme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ulikuwa nyundo yangu, nikakutumia kuwa chombo cha vita; hivyo nikaponda mataifa, nikaangamiza nchi za kifalme kwa kukutumia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunja-vunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Wewe Babeli ni nyundo na silaha yangu ya vita; ninakutumia kwa kuyavunjavunja mataifa, ninakutumia kwa kuangamiza falme.