Jeremiah 51:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninakutumia kuponda wachungaji na makundi yao, wakulima na wanyama wao wa kulimia, wakuu wa mikoa na madiwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa wewe nampondaponda mchungaji na kundi, kwa wewe nampondaponda mkulima na maksai, kwa wewe nawapondaponda watawala na maafisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa wewe nitamvunja-vunja mchungaji na kundi lake; na kwa wewe nitamvunja-vunja mkulima na jozi yake ya ng'ombe; na kwa wewe nitawavunja-vunja maliwali na maakida.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninakutumia kuponda wachungaji na makundi yao, wakulima na wanyama wao wa kulimia, wakuu wa mikoa na madiwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa wewe nampondaponda mchungaji na kundi, kwa wewe nampondaponda mkulima na maksai, kwa wewe nawapondaponda watawala na maafisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa wewe nampondaponda mchungaji na kundi, kwa wewe nampondaponda mkulima na maksai, kwa wewe nawapondaponda watawala na maafisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa wewe nitamvunjavunja mchungaji na kundi lake; na kwa wewe nitamvunjavunja mkulima na jozi yake ya ng'ombe; na kwa wewe nitawavunjavunja watawala na makamanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninakutumia kuponda wachungaji na makundi yao, wakulima na wanyama wao wa kulimia, wakuu wa mikoa na madiwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaponda wachungaji na makundi yao kwa kukutumia, nikaponda wakulima pamoja na ng'ombe wao wa kulima kwa kukutumia, nikaponda watawala nchi na wakuu kwa kukutumia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa wewe nitamvunja-vunja mchungaji na kundi lake; na kwa wewe nitamvunja-vunja mkulima na jozi yake ya ng’ombe; na kwa wewe nitawavunja-vunja maliwali na maakida.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakutumia kwa kuponda wachungaji na makundi yao, walimaji na nyama wao wanaotumia kwa kulima, wakubwa na maliwali.