Jeremiah 51:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi inatetemeka na kugaagaa kwa maumivu, maana nia ya Mwenyezi-Mungu kuhusu Babuloni ni thabiti: Ataifanya nchi ya Babuloni kuwa jangwa, ataifanya iwe bila watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi inatetemeka na kugaagaa, kwa kuwa makusudi ya Mwenyezi Mungu dhidi ya Babeli yanasimama: yaani kuangamiza nchi ya Babeli ili pasiwepo atakayeishi humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nchi yatetemeka, nayo ina utungu; maana makusudi ya Bwana juu ya Babeli yasimama, kuifanya nchi ya Babeli ukiwa, isikaliwe na mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi inatetemeka na kugaagaa kwa maumivu, maana nia ya Mwenyezi-Mungu kuhusu Babuloni ni thabiti: ataifanya nchi ya Babuloni kuwa jangwa, ataifanya iwe bila watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi inatetemeka na kugagaa, kwa kuwa makusudi ya BWANA dhidi ya Babeli yanasimama: yaani, kuangamiza nchi ya Babeli ili kwamba pasiwe na ye yote atakayeishi humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi inatetemeka na kugaagaa, kwa kuwa makusudi ya bwana dhidi ya Babeli yanasimama: yaani, kuangamiza nchi ya Babeli ili pasiwe na yeyote atakayeishi humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nchi yatetemeka, nayo ina uchungu; maana makusudi ya BWANA juu ya Babeli yasimama, kuifanya nchi ya Babeli ukiwa, isikaliwe na mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi inatetemeka na kugaagaa kwa maumivu, maana nia ya Mwenyezi-Mungu kuhusu Babuloni ni thabiti: Ataifanya nchi ya Babuloni kuwa jangwa, ataifanya iwe bila watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nchi itakapotetemeka kwa kustuka, kwani mawazo yake Bwana yameuinukia Babeli kuigeuza nchi ya Babeli kuwa peke yake tu, isikae mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nchi yatetemeka, nayo ina utungu; maana makusudi ya BWANA juu ya Babeli yasimama, kuifanya nchi ya Babeli ukiwa, isikaliwe na mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi inatetemeka na kugaagaa kwa maumivu, maana nia ya Yawe juu ya Babeli ni imara: ataifanya inchi ya Babeli kuwa jangwa, ataifanya ikuwe bila watu.