Jeremiah 51:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwape nafasi wapiga mshale wa Babuloni; usiwaache wavute upinde, wala kuvaa mavazi yao ya vita. Usiwahurumie vijana wake; liangamize kabisa jeshi lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu yake apindaye upinde, mwenye upinde na apinde upinde wake, na juu yake ajiinuaye katika dirii yake; msiwaachilie vijana wake; liangamizeni jeshi lake lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwape nafasi wapiga mshale wa Babuloni; usiwaache wavute upinde, wala kuvaa mavazi yao ya vita. Usiwahurumie vijana wake; liangamize kabisa jeshi lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu yake apindaye upinde, mwenye upinde na apinde upinde wake, na juu yake ajiinuaye katika dirii yake; msiwaachilie vijana wake; liangamizeni jeshi lake lote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwape nafasi wapiga mshale wa Babuloni; usiwaache wavute upinde, wala kuvaa mavazi yao ya vita. Usiwahurumie vijana wake; liangamize kabisa jeshi lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo hatakuwako mwenye upindi atakayewapiga mshale, wala hatakuwako mwenye shati ya chuma atakayeweza kuwainukia. Lakini msiwaonee uchungu vijana wake! Ila wao wote wa vikosi vyao watieni mwiko wa kuwapo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu yake apindaye upinde, mwenye upinde na apinde upinde wake, na juu yake ajiinuaye katika dirii yake; msiwaachilie vijana wake; liangamizeni jeshi lake lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwape nafasi wapiga mushale wa Babeli; usiwaache wavute upinde, wala kuvaa nguo zao za vita. Usiwahurumie vijana wake; uangamize kabisa jeshi lake.