Jeremiah 51:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tarishi baada ya tarishi wanapiga mbio, mjumbe mmoja anamfuata mjumbe mwingine, kumpasha habari mfalme wa Babuloni kwamba mji wake umevamiwa kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tarishi mmoja humfuata mwingine, na mjumbe humfuata mjumbe, kumtangazia mfalme wa Babeli kwamba mji wake wote umetekwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine, Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe, Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli, Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tarishi baada ya tarishi wanapiga mbio, mjumbe mmoja anamfuata mjumbe mwingine, kumpasha habari mfalme wa Babuloni kwamba mji wake umevamiwa kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tarishi mmoja humfuata mwingine na mjumbe humfuata mjumbe kumtangazia mfalme wa Babeli kwamba mji wake wote umetekwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tarishi mmoja humfuata mwingine, na mjumbe humfuata mjumbe, kumtangazia mfalme wa Babeli kwamba mji wake wote umetekwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine, Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe, Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli, Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tarishi baada ya tarishi wanapiga mbio, mjumbe mmoja anamfuata mjumbe mwingine, kumpasha habari mfalme wa Babuloni kwamba mji wake umevamiwa kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkimbizi anamfuata mkimbizi mwenziwe, vilevile mjumbe anamfuata mjumbe mwenziwe kumpasha mfalme wa Babeli habari, ya kuwa mji wake umetekwa, wakiutokea pande zote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine, Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe, Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli, Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakimbiaji wanakimbia wakitoleana ujumbe mumoja kwa mwingine kwa kumupasha mufalme wa Babeli habari kwamba muji wake umeshambuliwa kila upande.