Jeremiah 51:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Babuloni itakuwa rundo la magofu, itakuwa makao ya mbweha, itakuwa kinyaa na kitu cha kuzomewa; hakuna mtu atakayekaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Babeli utakuwa lundo la magofu na makao ya mbweha, kitu cha kutisha na kudharauliwa, mahali asipoishi mtu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Babuloni itakuwa rundo la magofu, itakuwa makao ya mbweha, itakuwa kinyaa na kitu cha kuzomewa; hakuna mtu atakayekaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Babeli utakuwa lundo la magofu na makao ya mbweha, kitu cha kutisha na kudharauliwa, mahali asipoishi mtu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Babeli utakuwa lundo la magofu na makao ya mbweha, kitu cha kutisha na kudharauliwa, mahali asipoishi mtu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwamwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Babuloni itakuwa rundo la magofu, itakuwa makao ya mbweha, itakuwa kinyaa na kitu cha kuzomewa; hakuna mtu atakayekaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo Babeli utageuka kuwa machungu ya mabomoko na makao ya mbwa wa mwitu, kwa kustukiwa utazomelewa, kwa kuwa hautakaa mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Babeli itakuwa lundo la mabomoko, itakuwa makao ya mbweha, itakuwa machukizo na kitu cha kuzomewa; hakuna mutu atakayekaa ndani yake.