Jeremiah 51:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataanguka barabarani waliouawa katika nchi ya Wakaldayo, wakiwa na majeraha ya kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataanguka, hali ya kuuawa, katika nchi ya Wakaldayo, hali ya kutumbuliwa katika njia kuu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha katika barabara zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataanguka waliouawa katika Babeli, wakiwa na majeraha ya kutisha barabarani zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataanguka, wakiwa wameuawa, katika nchi ya Wakaldayo, wakiwa wametumbuliwa katika njia zake kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataanguka na kuuawa katika nchi ya Wakaldayo, watajeruhiwa katika barabara zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo wataanguka tu katika nchi ya Wakasidi waliopata vidonda, nao waliochomwa watalala huko barabarani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataanguka, hali ya kuuawa, katika nchi ya Wakaldayo, hali ya kutumbuliwa katika njia kuu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataanguka na kuuawa katika inchi ya Wakaldea, wataumizwa katika barabara zake.