Jeremiah 51:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitawateremsha kama wana-kondoo wanaoenda machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawatelemsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo waume pamoja na mabeberu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitawatelemsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawateremsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo dume pamoja na mabeberu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawaangusha kama wana kondoo, wakichinjwa kama madume ya kondoo na ya mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawatelemsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo waume pamoja na mabeberu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu.