Jeremiah 51:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajabu kutekwa kwa Babuloni; mji uliosifika duniani kote umechukuliwa! Babuloni umekuwa kinyaa kati ya mataifa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama jinsi Sheshaki atakavyokamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi Sheshaki
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajabu kutekwa kwa Babuloni; mji uliosifika duniani kote umechukuliwa! Babuloni umekuwa kinyaa kati ya mataifa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama Sheshaki atakamatwa, majivuno ya dunia yote yatakuwa yamefikia mwisho. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama jinsi Sheshaki atakamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi Sheshaki alivyotwaliwa! Naye sifa ya dunia yote alivyoshambuliwa! Jinsi Babeli alivyokuwa ukiwa Katikati ya mataifa!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajabu kutekwa kwa Babuloni; mji uliosifika duniani kote umechukuliwa! Babuloni umekuwa kinyaa kati ya mataifa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe Sesaki umetekwa! Kumbe umechukuliwa uliosifiwa na nchi zote! Kumbe Babeli umegeuka kuwa stusho kwa mataifa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi Sheshaki alivyotwaliwa! Naye sifa ya dunia yote alivyoshambuliwa! Jinsi Babeli alivyokuwa ukiwa Katikati ya mataifa!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namna gani Babeli imetekwa; muji uliosifiwa katika dunia yote umekamatwa! Babeli umekuwa ukiwa kati ya mataifa!