Jeremiah 51:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yanayonguruma yatamfunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bahari imepanda kuja Babeli, ukafunikizwa na mawimbi yake yaumukayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bahari imefurika juu ya Babeli, Babeli imefunikwa na mawimbi yaliyochafuka.