Jeremiah 51:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tokeni humo enyi watu wangu! Kila mtu na ayasalimishe maisha yake, kutoka hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tokeni ndani yake, enyi watu wangu! Okoeni maisha yenu! Ikimbieni hasira kali ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu wangu; tokeni katikati yake, mkajiokoe nafsi zenu na hasira kali ya Bwana, kila mmoja wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tokeni humo enyi watu wangu! Kila mtu na ayasalimishe maisha yake, kutoka hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tokeni ndani yake, enyi watu wangu! Okoeni maisha yenu! Ikimbieni hasira kali ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tokeni ndani yake, enyi watu wangu! Okoeni maisha yenu! Ikimbieni hasira kali ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu wangu; tokeni katikati yake, mkajiokoe nafsi zenu kutoka na hasira kali ya BWANA, kila mmoja wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tokeni humo enyi watu wangu! Kila mtu na ayasalimishe maisha yake, kutoka hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tokeni mwake, ninyi mlio ukoo wangu! Kila mtu na aiponye roho yake, asifikiwe na makali yake Bwana yenye moto!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu wangu; tokeni katikati yake, mkajiokoe nafsi zenu na hasira kali ya BWANA, kila mmoja wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoke humo, enyi watu wangu! Kila mutu apate kuyaokoa maisha yake, kutoka hasira kali ya Yawe.