Jeremiah 51:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli siku zaja, nitakapoadhibu sanamu za Babuloni; nchi yake yote itatiwa aibu, watu wake wote watauawa humohumo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hakika wakati utawadia nitakapoziadhibu sanamu za Babeli; nchi yake yote itatiwa aibu, na watu wake wote waliouawa wataangukia ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi angalia, siku zitakuja, ambazo katika siku hizo, nitafanya hukumu juu ya sanamu za Babeli, na nchi yake yote itatahayarika; na watu wake wote waliouawa wataanguka katikati yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli siku zaja, nitakapoadhibu sanamu za Babuloni; nchi yake yote itatiwa aibu, watu wake wote watauawa humohumo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hakika wakati utawadia nitakapoziadhibu sanamu za Babeli; nchi yake yote itatiwa aibu na watu wake wote waliouawa wataangukia ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hakika wakati utawadia nitakapoziadhibu sanamu za Babeli; nchi yake yote itatiwa aibu, na watu wake wote waliouawa wataangukia ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi angalia, siku zitakuja, ambazo katika siku hizo, nitafanya hukumu juu ya sanamu za Babeli, na nchi yake yote itatahayarika; na watu wake wote waliouawa wataanguka katikati yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli siku zaja, nitakapoadhibu sanamu za Babuloni; nchi yake yote itatiwa aibu, watu wake wote watauawa humohumo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mtaona, siku ikija, nitakapovipatiliza vinyago vya Babeli, nchi yake yote ipatwe na soni, kwa kuwa watu wake wote waliouawa wataanguka mlemle mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi angalia, siku zitakuja, ambazo katika siku hizo, nitafanya hukumu juu ya sanamu za Babeli, na nchi yake yote itatahayarika; na watu wake wote waliouawa wataanguka katikati yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, siku zinakuja ambapo nitaazibu sanamu za Babeli; inchi yake yote itapata haya, watu wake wote watauawa humohumo. –Ni ujumbe wa Yawe.–