Jeremiah 51:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Babuloni umesababisha vifo duniani kote; sasa wenyewe utaangamizwa kwa mauaji ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Babeli ni lazima aanguke kwa sababu ya kuwaua Waisraeli, kama vile waliouawa duniani kote walivyoanguka kwa sababu ya Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile Babeli alivyowaangusha watu wa Israeli waliouawa, ndivyo watakavyoanguka katika Babeli watu wa nchi yake nzima waliouawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Babuloni umesababisha vifo duniani kote; sasa wenyewe utaangamizwa kwa mauaji ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Babeli ni lazima aanguke kwa sababu ya kuwaua Waisraeli, kama vile waliouawa duniani kote walivyoanguka kwa sababu ya Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Babeli ni lazima aanguke kwa sababu ya kuwaua Waisraeli, kama vile waliouawa duniani kote walivyoanguka kwa sababu ya Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile Babeli alivyowaangusha watu wa Israeli waliouawa, ndivyo watakavyoanguka katika Babeli watu wa nchi yake nzima waliouawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Babuloni umesababisha vifo duniani kote; sasa wenyewe utaangamizwa kwa mauaji ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Babeli nao utaanguka kwa ajili ya Waisiraeli walioanguka wakiuawa, kama walivyoanguka watu wa nchi zote wakiuawa kwa ajili ya Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile Babeli alivyowaangusha watu wa Israeli waliouawa, ndivyo watakavyoanguka katika Babeli watu wa nchi yake nzima waliouawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Babeli umesababisha vifo katika dunia yote; sasa muji wenyewe utaangamizwa kwa ajili ya mauaji ya Waisraeli.