Jeremiah 51:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Israeli na Yuda hawakuachwa na Mungu wao Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ingawa nchi yao imejaa hatia mbele yake yeye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, ingawa nchi yao imejaa uovu mbele zake yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Israeli, wala Yuda, hakuachwa na Mungu wake, Bwana wa majeshi; ijapokuwa nchi yao imejaa hatia juu yake aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Israeli na Yuda hawakuachwa na Mungu wao Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ingawa nchi yao imejaa hatia mbele yake yeye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, BWANA Mwenye Nguvu Zote, ingawa nchi yao imejaa uovu mbele zake yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, bwana Mwenye Nguvu Zote, ingawa nchi yao imejaa uovu mbele zake yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Israeli, wala Yuda, hakuachwa na Mungu wake, BWANA wa majeshi; ijapokuwa nchi yao imejaa hatia juu yake aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Israeli na Yuda hawakuachwa na Mungu wao Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ingawa nchi yao imejaa hatia mbele yake yeye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Isiraeli na Yuda hawakuachwa na Mungu wao aliye Bwana Mwenye vikosi, wawe wajane, ila nchi yao wale ilijaa maovu, waliyomkosea Mtakatifu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Israeli, wala Yuda, hakuachwa na Mungu wake, BWANA wa majeshi; ijapokuwa nchi yao imejaa hatia juu yake aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Israeli na Yuda hawakuachiliwa na Mungu wao, Yawe wa majeshi, ingawa inchi yao imejaa makosa mbele ya Mutakatifu wa Israeli.