Jeremiah 51:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka Babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya Wakaldayo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sauti ya kilio inasikika kutoka Babeli, sauti ya uharibifu mkuu kutoka nchi ya Wakaldayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya kilio kutoka Babeli, Na ya uangamivu mkuu toka nchi ya Wakaldayo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka Babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya Wakaldayo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sauti ya kilio inasikika kutoka Babeli, sauti ya uharibifu mkuu kutoka nchi ya Wakaldayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sauti ya kilio inasikika kutoka Babeli, sauti ya uharibifu mkuu kutoka nchi ya Wakaldayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya kilio kutoka Babeli, Na ya uangamizi mkuu toka nchi ya Wakaldayo!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka Babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya Wakaldayo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti za makelele zinasikilika upande wa Babeli na shindo la vunjiko kubwa upande wa nchi ya Wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya kilio kutoka Babeli, Na ya uangamivu mkuu toka nchi ya Wakaldayo!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza! Kilio kinasikilika kutoka Babeli! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka inchi ya Wakaldea!