Jeremiah 51:55 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mimi Mwenyezi-Mungu naiangamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui ananguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chao inaongezeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ataiangamiza Babeli, atanyamazisha makelele ya kishindo chake. Mawimbi ya adui yatanguruma kama maji makuu, ngurumo ya sauti zao itavuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana amwangamiza Babeli, Na kuikomesha sauti kuu ndani yake; Na mawimbi yake yavuma kama maji mengi, Mshindo wa sauti zao wafanya makelele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mimi Mwenyezi-Mungu naiangamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui ananguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chao inaongezeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ataiangamiza Babeli, atanyamazisha makelele ya kishindo chake. Mawimbi ya adui yatanguruma kama maji makuu, ngurumo ya sauti zao itavuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ataiangamiza Babeli, atanyamazisha makelele ya kishindo chake. Mawimbi ya adui yatanguruma kama maji makuu, ngurumo ya sauti zao itavuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA amwangamiza Babeli, Na kuikomesha sauti kuu ndani yake; Na mawimbi yake yavuma kama maji mengi, Mshindo wa sauti zao wafanya makelele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mimi Mwenyezi-Mungu naiangamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui ananguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chao inaongezeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana anauangamiza Babeli na kuzikomesha sauti za makelele yake makuu; mawimbi yanayoujia yanavuma kama maji mengi, sauti za kuumuka kwao zinazidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA amwangamiza Babeli, Na kuikomesha sauti kuu ndani yake; Na mawimbi yake yavuma kama maji mengi, Mshindo wa sauti zao wafanya makelele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mimi Yawe ninaiangamiza Babeli, na kuikomesha kelele yake kubwa. Waadui wananguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chao inaongezeka.