Jeremiah 51:56 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwangamizi atakuja dhidi ya Babeli; mashujaa wake watakamatwa, nazo pinde zao zitavunjwa. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu wa kisasi, yeye atalipiza kikamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana Bwana ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mharabu atakuja dhidi ya Babeli, mashujaa wake watakamatwa, nazo pinde zao zitavunjwa. Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa kisasi, yeye atalipiza kikamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mharabu atakuja dhidi ya Babeli, mashujaa wake watakamatwa, nazo pinde zao zitavunjwa. Kwa kuwa bwana ni Mungu wa kisasi, yeye atalipiza kikamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana BWANA ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mwangamizaji ameujia Babeli, wapiga vita wake watekwe, pindi zao zivunjwe, kwani Bwana ni Mungu mwenye lipizi, hulipisha, naye hasazi akilipisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana BWANA ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, mwangamizaji anashambulia Babeli; waaskari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Yawe ni Mungu mwenye kuazibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.