Jeremiah 51:60 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa nimeandika kitabuni maafa yote niliyotangaza juu ya Babuloni na pia maneno mengine kuhusu Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia alikuwa ameandika ndani ya kitabu kuhusu maafa yote yatakayoipata Babeli, yaani yote yaliyokuwa yameandikwa kuhusu Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yeremia akaandika katika kitabu habari ya mabaya yote yatakayoupata Babeli, maneno hayo yote yaliyoandikwa juu ya Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa nimeandika kitabuni maafa yote niliyotangaza juu ya Babuloni na pia maneno mengine kuhusu Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia alikuwa ameandika ndani ya kitabu kuhusu maafa yote yatakayoipata Babeli, yaani yote yaliyokuwa yameandikwa kuhusu Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia alikuwa ameandika ndani ya kitabu kuhusu maafa yote yatakayoipata Babeli, yaani yote yaliyokuwa yameandikwa kuhusu Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yeremia akaandika katika kitabu kuhusu mabaya yote yatakayoupata Babeli, maneno hayo yote yaliyoandikwa juu ya Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa nimeandika kitabuni maafa yote niliyotangaza juu ya Babuloni na pia maneno mengine kuhusu Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia alikuwa ameyaandika hayo mabaya yote yatakayoujia Babeli katika kitabu kimoja, ni hayo maneno yote, Babeli uliyoandikiwa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yeremia akaandika katika kitabu habari ya mabaya yote yatakayoupata Babeli, maneno hayo yote yaliyoandikwa juu ya Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa nimeandika katika kitabu hasara yote niliyotangaza juu ya Babeli na vilevile maneno mengine juu ya Babeli.