Jeremiah 51:61 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimwambia Seraya: “Utakapofika Babuloni ni lazima uwasomee wote ujumbe huu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia akamwambia Seraya, “Utakapofika Babeli, hakikisha kwamba umesoma maneno haya yote kwa sauti kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yeremia akamwambia Seraya, Utakapofika Babeli, basi angalia uyasome maneno haya yote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimwambia Seraya: “Utakapofika Babuloni ni lazima uwasomee wote ujumbe huu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia Seraya, “Utakapofika Babeli, hakikisha kwamba umesoma maneno haya yote kwa sauti kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia akamwambia Seraya, “Utakapofika Babeli, hakikisha kwamba umesoma maneno haya yote kwa sauti kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yeremia akamwambia Seraya, Utakapofika Babeli, basi angalia uyasome maneno haya yote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimwambia Seraya: “Utakapofika Babuloni ni lazima uwasomee wote ujumbe huu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia akamwambia Seraya: Utakapofika Babeli, jitafutie pafaapo, kisha yasome hayo maneno yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yeremia akamwambia Seraya, Utakapofika Babeli, basi angalia uyasome maneno haya yote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimwambia Seraya: Utakapofika Babeli ni lazima uwasomee wote maneno haya.