Jeremiah 51:62 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha umalizie na maneno haya: ‘Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa hata pasikaliwe na kiumbe chochote, mwanadamu au mnyama, na kwamba nchi hii itakuwa jangwa milele.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha sema, ‘Ee Mwenyezi Mungu, umesema utaangamiza mahali hapa ili mtu wala mnyama asiishi ndani yake, napo patakuwa ukiwa milele.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukaseme, Ee Bwana, umenena habari za mji huu kwamba utakatiliwa mbali, usikaliwe na awaye yote, wala wanadamu wala wanyama, lakini uwe ukiwa hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha umalizie na maneno haya: ‘Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa hata pasikaliwe na kiumbe chochote, mwanadamu au mnyama, na kwamba nchi hii itakuwa jangwa milele.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha sema, ‘Ee BWANA, umesema utaangamiza mahali hapa ili kwamba mtu wala mnyama asiishi ndani yake, itakuwa ukiwa milele.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha sema, ‘Ee bwana, umesema utaangamiza mahali hapa ili mtu wala mnyama asiishi ndani yake, napo patakuwa ukiwa milele.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukaseme, Ee BWANA, umenena kuhusu mji huu kwamba utakatiliwa mbali, usikaliwe na awaye yote, wala wanadamu wala wanyama, lakini uwe ukiwa hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha umalizie na maneno haya: ‘Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa hata pasikaliwe na kiumbe chochote, mwanadamu au mnyama, na kwamba nchi hii itakuwa jangwa milele.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakaposema: Wewe Bwana, umepaambia mahali hapa, ya kuwa utapaangamiza, pasiwe mtu wala nyama atakayekaa hapa, kwani patakuwa peke yake tu kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukaseme, Ee BWANA, umenena habari za mji huu kwamba utakatiliwa mbali, usikaliwe na awaye yote, wala wanadamu wala wanyama, lakini uwe ukiwa hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha umalizie na maneno haya: Ee Yawe, wewe umesema kwamba utaharibu nafasi hii hata kusikaliwe na kiumbe chochote, mwanadamu au nyama, na kwamba inchi hii itakuwa jangwa milele.