Jeremiah 51:63 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakapomaliza kusoma kitabu hiki, kifungie jiwe, kisha ukitumbukize katikati ya mto Eufrate, ukisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakapomaliza kusoma hiki kitabu, kifungie jiwe kisha ukitupe ndani ya Mto Frati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa utakapokwisha kukisoma kitabu hicho, utakifungia jiwe, na kukitupa katika mto Frati;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakapomaliza kusoma kitabu hiki, kifungie jiwe, kisha ukitumbukize katikati ya mto Eufrate, ukisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakapomaliza kusoma hiki kitabu lifungie jiwe kisha ulitupe ndani ya Mto Eufrati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakapomaliza kusoma hiki kitabu, kifungie jiwe kisha ukitupe ndani ya Mto Frati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa utakapokwisha kukisoma kitabu hicho, utakifungia jiwe, na kukitupa katika mto Frati;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakapomaliza kusoma kitabu hiki, kifungie jiwe, kisha ukitumbukize katikati ya mto Eufrate, ukisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapokwisha kukisoma kitabu hicho, ukifungie jiwe, kisha ukitupe katikati katika mto wa Furati
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa utakapokwisha kukisoma kitabu hicho, utakifungia jiwe, na kukitupa katika mto Frati;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapomaliza kusoma kitabu hiki, ufunge jiwe juu yake, kisha ukitumbukize katikati ya muto Furati, ukisema: