Jeremiah 51:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ghafla Babuloni imeanguka na kuvunjikavunjika; ombolezeni kwa ajili yake! Leteni dawa kutuliza maumivu yake; labda utaweza kuponywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Babeli ataanguka ghafula na kuvunjika. Mwombolezeni! Tafuteni zeri ya kutuliza maumivu yake, labda anaweza kupona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Babeli umeanguka na kuangamia ghafula; mpigieni yowe; twaeni zeri kwa maumivu yake; ili labda apate kuponywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ghafla Babuloni imeanguka na kuvunjikavunjika; ombolezeni kwa ajili yake! Leteni dawa kutuliza maumivu yake; labda utaweza kuponywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Babeli ataanguka ghafula na kuvunjika. Mwombolezeeni! Tafuteni zeri ya kutuliza maumivu yake, labda anaweza kupona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Babeli ataanguka ghafula na kuvunjika. Mwombolezeni! Tafuteni zeri ya kutuliza maumivu yake, labda anaweza kupona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Babeli umeanguka na kuangamia ghafla; mwombolezeni; twaeni zeri kwa maumivu yake; ili labda apate kuponywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ghafla Babuloni imeanguka na kuvunjikavunjika; ombolezeni kwa ajili yake! Leteni dawa kutuliza maumivu yake; labda utaweza kuponywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara Babeli umeanguka, ukavunjika! Ulilieni! Leteni mafuta ya kwaju kuyatia penye madonda yake! Labda utapona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Babeli umeanguka na kuangamia ghafula; mpigieni yowe; twaeni zeri kwa maumivu yake; ili labda apate kuponywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa rafla Babeli imeanguka na kuvunjikavunjika; muomboleze kwa ajili yake! Mulete dawa kwa kutuliza maumivu yake; labda utaweza kupona.