Jeremiah 52:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, mkazi wa mji wa Liba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na moja. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia kutoka Libna.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja hapo alipoanza kumiliki; naye akamiliki miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Hamutali, binti Yeremia wa Libna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, mkazi wa mji wa Liba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja hapo alipoanza kumiliki; naye akamiliki miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Hamutali, binti Yeremia wa Libna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, mkazi wa mji wa Liba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sekedia alikuwa mwenye miaka 21 alipopata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 11; jina la mama yake ni Hamutali, binti Yeremia, wa Libuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja hapo alipoanza kumiliki; naye akamiliki miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Hamutali, binti Yeremia wa Libna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zedekia alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mumoja alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na mumoja akiwa kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Hamutali binti wa Yeremia, mukaaji wa muji wa Libuna.