Jeremiah 52:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni wa walinzi, walizibomoa kuta zote zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jeshi lote la Wakaldayo chini ya mkuu wa askari walinzi wa mfalme walivunja kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo amiri wa askari walinzi, wakazibomoa kuta zote za Yerusalemu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni wa walinzi, walizibomoa kuta zote zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jeshi lote la Wakaldayo chini ya uongozi wa jemadari wa askari walinzi wa mfalme lilivunja kuta zote kuzunguka Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jeshi lote la Wakaldayo chini ya jemadari wa askari walinzi wa mfalme walivunja kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo kamanda wa askari walinzi, wakazibomoa kuta zote za Yerusalemu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni wa walinzi, walizibomoa kuta zote zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vikosi vyote vya Wakasidi waliokuwa na mkuu wao waliomlinda mfalme vikazibomoa kuta za boma lililouzunguka Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo amiri wa askari walinzi, wakazibomoa kuta zote za Yerusalemu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waaskari wote wa Wakaldea waliokuwa pamoja na mukubwa wa waaskari, walizibomoa kuta zote zilizouzunguka Yerusalema.