Jeremiah 52:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua uhamishoni watu waliokuwa wamebakia mjini na wale waliokuwa wamejisalimisha kwa mfalme wa Babuloni pamoja na mafundi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, akawapeleka uhamishoni baadhi ya watu maskini sana na wale waliobaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa kawaida, na wale waliojisalimisha kwa mfalme wa Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawachukua wafungwa baadhi ya watu waliokuwa maskini, na mabaki ya watu walioachwa katika mji, nao wale walioasi na kumkimbilia mfalme wa Babeli, nao mabaki ya vibarua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua uhamishoni watu waliokuwa wamebakia mjini na wale waliokuwa wamejisalimisha kwa mfalme wa Babuloni pamoja na mafundi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebuzaradani jemadari wa walinzi akawachukua uhamishoni baadhi ya watu maskini sana na wale waliobaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa hivi hivi na wale waliokuwa wamemwendea mfalme wa Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebuzaradani, jemadari wa askari walinzi, akawapeleka uhamishoni baadhi ya watu maskini sana na wale waliobaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa kawaida, na wale waliojisalimisha kwa mfalme wa Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawachukua wafungwa baadhi ya watu waliokuwa maskini, na mabaki wa watu walioachwa katika mji, nao wale walioasi na kumkimbilia mfalme wa Babeli, nao mabaki ya vibarua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua uhamishoni watu waliokuwa wamebakia mjini na wale waliokuwa wamejisalimisha kwa mfalme wa Babuloni pamoja na mafundi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, akawateka na kuwahamisha wanyonge wa ukoo huo nayo masao ya watu waliosalia mjini nao waliokuwa wamemwangukia mfalme wa Babeli na kurudi upande wake nao mafundi waliosalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawachukua wafungwa baadhi ya watu waliokuwa maskini, na mabaki ya watu walioachwa katika mji, nao wale walioasi na kumkimbilia mfalme wa Babeli, nao mabaki ya vibarua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebuzaradani mukubwa wa waaskari wa mufalme, aliwapeleka katika uhamisho watu waliokuwa wamebakia katika muji na wale waliojitoa wenyewe kwa mufalme wa Babeli pamoja na wafundi.