Jeremiah 52:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwaacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini, wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Nebuzaradani akawaacha mabaki ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawaacha watu walio maskini kabisa ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwaacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini, wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Nebuzaradani akaacha yale mabaki ya wale watu maskini sana wa nchi ili kufanya kazi katika mashamba ya mzabibu na mashamba mengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Nebuzaradani akawaacha mabaki ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawaacha watu walio maskini kabisa ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwaacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini, wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa wanyonge wa nchi Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, wengine akawasaza, waiangalie mizabibu, wengine walime tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawaacha watu walio maskini kabisa ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Nebuzaradani mukubwa wa waaskari walinzi wa mufalme, aliwaacha watu wamoja waliokuwa wamasikini kabisa katika inchi, wakuwe watunza mizabibu na walimaji.