Jeremiah 52:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama mabaya yote aliyotenda Yehoyakimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alifanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama alivyofanya Yehoyakimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alitenda yaliyo mabaya machoni pa Bwana, sawasawa na yote aliyoyatenda Yehoyakimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama mabaya yote aliyotenda Yehoyakimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alifanya maovu machoni pa BWANA, kama vile alivyokuwa amefanya Yehoyakimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alifanya maovu machoni pa bwana, kama alivyofanya Yehoyakimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alitenda yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyatenda Yehoyakimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama mabaya yote aliyotenda Yehoyakimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kama yote, Yoyakimu aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alitenda yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyatenda Yehoyakimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda maovu mbele ya Yawe akifuata yote Yoyakimu aliyofanya.