Jeremiah 52:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila moja ya nguzo hizo mbili ilikuwa na urefu wa mita 8, mzingo wake mita 5.25, na unene wa milimita 75, zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila nguzo ilikuwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, kimo chake na mzunguko dhiraa kumi na mbili, na unene wa nyanda nne, na zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nguzo hizo, urefu wa nguzo moja ulikuwa dhiraa kumi na nane, na uzi wa dhiraa kumi na mbili ungeweza kuizunguka; na unene wake ulikuwa nyanda nne; nayo ilikuwa ya uvungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila moja ya nguzo hizo mbili ilikuwa na urefu wa mita 8, mzingo wake mita 5.25, na unene wa milimita 75, zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila nguzo ilikuwa na urefu wa dhiraa kumi na nane kimo chake na mzunguko dhiraa kumi na mbili zikiwa na unene wa nyanda nne na zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila nguzo ilikuwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, kimo chake na mzunguko dhiraa kumi na mbili, na unene wa nyanda nne, na zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nguzo hizo, urefu wa nguzo moja ulikuwa dhiraa kumi na nane, na uzi wa dhiraa kumi na mbili ungeweza kuizunguka; na unene wake ulikuwa nyanda nne; nayo ilikuwa ya uvungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila moja ya nguzo hizo mbili ilikuwa na urefu wa mita 8, mzingo wake mita 5.25, na unene wa milimita 75, zote zilikuwa wazi ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zile nguzo urefu wake nguzo moja ulikuwa mikono kumi na nane, nayo kamba ya mikono kumi na miwili ikaizunguka, unene wa shaba ulikuwa nyanda nne, ndani palikuwa penye uvurungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nguzo hizo, urefu wa nguzo moja ulikuwa dhiraa kumi na nane, na uzi wa dhiraa kumi na mbili ungeweza kuizunguka; na unene wake ulikuwa nyanda nne; nayo ilikuwa ya uvungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila moja ya nguzo hizo mbili ilikuwa na urefu wa metre nane, muzunguko wake metre tano na sentimetre makumi tatu, na unene wa sentimetre saba na nusu, zote zilikuwa wazi ndani.