Jeremiah 52:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kila nguzo kulikuwa na kichwa cha shaba nyeusi; urefu wa kila kichwa ulikuwa mita 2 na sentimita 20. Kila kichwa kilizungushiwa mapambo ya wavu ya makomamanga, yote ya shaba nyeusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sehemu ya shaba juu ya ile nguzo moja ilikuwa na urefu wa dhiraa tano, na ilikuwa imepambwa kwa wavu na makomamanga ya shaba kuizunguka kote. Ile nguzo nyingine pamoja na makomamanga yake ilifanana na hiyo ya kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo ilikuwa na kichwa cha shaba juu yake; na urefu wa kichwa kimoja ulikuwa dhiraa tano; palikuwa na mapambo ya wavu na makomamanga juu ya kichwa hicho pande zote; vyote vilikuwa vya shaba; nayo nguzo ya pili ilikuwa na mapambo kama hayo, na makomamanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kila nguzo kulikuwa na kichwa cha shaba nyeusi; urefu wa kila kichwa ulikuwa mita 2 na sentimita 20. Kila kichwa kilizungushiwa mapambo ya wavu ya makomamanga, yote ya shaba nyeusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu ya juu ya nguzo moja ilikuwa na urefu wa dhiraa tano na ilipambwa kwa wavu na makomamanga ya shaba kuizunguka kote. Nguzo nyingine, pamoja na makomamanga yake vyote vilifanana na hiyo ya kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sehemu ya shaba juu ya ile nguzo moja ilikuwa na urefu wa dhiraa tano, na ilikuwa imepambwa kwa wavu na makomamanga ya shaba kuizunguka kote. Ile nguzo nyingine pamoja na makomamanga yake ilifanana na hiyo ya kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo ilikuwa na kichwa cha shaba juu yake; na urefu wa kichwa kimoja ulikuwa dhiraa tano; palikuwa na mapambo ya wavu na makomamanga juu ya kichwa hicho pande zote; vyote vilikuwa vya shaba; nayo nguzo ya pili ilikuwa na mapambo kama hayo, na makomamanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kila nguzo kulikuwa na kichwa cha shaba nyeusi; urefu wa kila kichwa ulikuwa mita 2 na sentimita 20. Kila kichwa kilizungushiwa mapambo ya wavu ya makomamanga, yote ya shaba nyeusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu yake palikuwa na kilemba cha shaba, urefu wa kwenda juu wa hiki kilemba kimoja ulikuwa mikono mitano; hiki kilemba kilikuwa kimezungukwa na misuko kama ya mkeka iliyokuwa yenye komamanga, yote pia ni ya shaba; nayo nguzo ya pili ilikuwa vivyo hivyo, nayo ilikuwa yenye komamanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo ilikuwa na kichwa cha shaba juu yake; na urefu wa kichwa kimoja ulikuwa dhiraa tano; palikuwa na mapambo ya wavu na makomamanga juu ya kichwa hicho pande zote; vyote vilikuwa vya shaba; nayo nguzo ya pili ilikuwa na mapambo kama hayo, na makomamanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kila nguzo kulikuwa kichwa cha shaba nyeusi; urefu wa kila kichwa ulikuwa metre mbili na sentimetre makumi mbili. Kila kichwa kilizungushiwa mapambo ya makomamanga, yote ya shaba nyeusi.