Jeremiah 52:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita ubavuni mwa nguzo hizo; jumla ya makomamanga yote ilikuwa 100 na mapambo kandokando yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita pembeni; jumla ya makomamanga juu ya wavu uliokuwa umezunguka yalikuwa mia moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Palikuwa na makomamanga tisini na sita katika pande zake; makomamanga; yote yalikuwa mia juu ya wavu huo pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita ubavuni mwa nguzo hizo; jumla ya makomamanga yote ilikuwa 100 na mapambo kandokando yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita pembeni, jumla ya makomamanga juu ya wavu uliokuwa umezunguka yalikuwa mia moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita pembeni; jumla ya makomamanga juu ya wavu uliokuwa umezunguka yalikuwa mia moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Palikuwa na makomamanga tisini na sita katika pande zake; makomamanga; yote yalikuwa mia moja juu ya wavu huo pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na makomamanga tisini na sita ubavuni mwa nguzo hizo; jumla ya makomamanga yote ilikuwa 100 na mapambo kandokando yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Komamanga zilikuwa tisini na sita zilizoning'inia; komamanga zote penye msuko wa nguzo moja zilikuwa mia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Palikuwa na makomamanga tisini na sita katika pande zake; makomamanga; yote yalikuwa mia juu ya wavu huo pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa makomamanga makumi kenda na sita kwenye ubavu wa nguzo hizo; jumla ya makomamanga yote ilikuwa mia moja na mapambo kandokando yake.