Jeremiah 52:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, alimchukua mateka Seraya kuhani mkuu, na Sefania kuhani wa pili, pamoja na walinda mlango watatu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mkuu wa askari walinzi akawachukua kama wafungwa Seraya kuhani mkuu, kuhani Sefania aliyefuata kwa cheo, na mabawabu watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amiri wa askari walinzi akamtwaa Seraya, kuhani mkuu, na Sefania, kuhani wa pili, na wale walinzi watatu wa mlango;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, alimchukua mateka Seraya kuhani mkuu, na Sefania kuhani wa pili, pamoja na walinda mlango watatu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliochukuliwa na jemadari wa askari walinzi ni Seraya Kuhani Mkuu, kuhani Sefania aliyefuata kwa cheo na mabawabu watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule jemadari wa askari walinzi akawachukua kama wafungwa Seraya kuhani mkuu, kuhani Sefania aliyefuata kwa cheo, na mabawabu watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mkuu wa askari walinzi akamtwaa Seraya, kuhani mkuu, na Sefania, kuhani wa pili, na wale walinzi watatu wa mlango;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, alimchukua mateka Seraya kuhani mkuu, na Sefania kuhani wa pili, pamoja na walinda mlango watatu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wao waliomlinda mfalme akamchukua mtambikaji mkuu Seraya na mtambikaji wa pili Sefania nao walinda kizingiti watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amiri wa askari walinzi akamtwaa Seraya, kuhani mkuu, na Sefania, kuhani wa pili, na wale walinzi watatu wa mlango;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Nebuzaradani mukubwa wa waaskari walinzi wa mufalme, alimukamata Seraya Kuhani Mukubwa, na Zefania kuhani wa pili, pamoja na walinda mulango watatu;