Jeremiah 52:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua watu hao na kuwapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawatwaa, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua watu hao na kuwapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebuzaradani jemadari akawachukua wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, akawatwaa, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua watu hao na kuwapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao akawachukua Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, akawapeleka Ribula kwa mfalme wa Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawatwaa, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebuzaradani mukubwa wa waaskari walinzi wa mufalme, aliwakamata watu hao na kuwapeleka kwa mufalme wa Babeli kule Ribla.