Jeremiah 52:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Nebukadneza wa Babuloni aliwapiga na kuwaua watu hao huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Basi, watu wa Yuda walikwenda uhamishoni nje ya nchi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe. Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme wa Babeli akawapiga na kuwaua huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Ndivyo Yuda alivyochukuliwa utumwani, akatolewa katika nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Nebukadneza wa Babuloni aliwapiga na kuwaua watu hao huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Basi, watu wa Yuda walikwenda uhamishoni nje ya nchi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme akaamuru wote wanyongwe. Hivyo Yuda alitekwa, akaenda mbali na nchi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe. Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme wa Babeli akawapiga na kuwaua huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Ndivyo Yuda alivyochukuliwa utumwani, akatolewa katika nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Nebukadneza wa Babuloni aliwapiga na kuwaua watu hao huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Basi, watu wa Yuda walikwenda uhamishoni nje ya nchi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mfalme wa Babeli akawapiga na kuwaua huko Ribula katika nchi ya Hamati. Kisha akawahamisha Wayuda, waitoke nchi yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme wa Babeli akawapiga na kuwaua huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Ndivyo Yuda alivyochukuliwa utumwani, akatolewa katika nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Nebukadneza wa Babeli aliwapiga na kuwaua watu hao kule Ribla katika inchi ya Hamati. Basi, hivi ndivyo watu wa Yuda walikwenda katika uhamisho inje ya inchi yao.