Jeremiah 52:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, alichukua kutoka Yerusalemu mateka 832;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Nebukadneza, watu mia nane na thelathini na wawili (832) kutoka Yerusalemu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika mwaka wa kumi na nane wa Nebukadreza aliwachukua toka Yerusalemu watu mia nane na thelathini na wawili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, alichukua kutoka Yerusalemu mateka 832;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Nebukadneza, watu 832 kutoka Yerusalemu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Nebukadneza, watu 832 kutoka Yerusalemu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika mwaka wa kumi na nane wa Nebukadneza aliwachukua toka Yerusalemu watu mia nane na thelathini na wawili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, alichukua kutoka Yerusalemu mateka 832;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa kumi na nane wa ufalme wa Nebukadinesari waliohamishwa Yerusalemu ni 832.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika mwaka wa kumi na nane wa Nebukadreza aliwachukua toka Yerusalemu watu mia nane na thelathini na wawili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwaka wa kumi na nane na utawala wake, alipeleka kutoka Yerusalema watu mia nane makumi tatu na wawili.