Jeremiah 52:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni, akawa anapata chakula chake daima mezani kwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya gerezani, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akabadili mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni, akawa anapata chakula chake daima mezani kwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya gerezani na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula katika meza ya mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya mfungwa, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akabadili mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni, akawa anapata chakula chake daima mezani kwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipoyavua mavazi yake ya kifungoni, akala chakula usoni pa mfalme pasipo kukoma siku zote, alizokuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akabadili mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoyakinu alibadilisha nguo zake za wafungwa, akakuwa anapata chakula chake siku zote kwenye meza ya mufalme.