Jeremiah 52:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daima alipewa posho na mfalme wa Babuloni kulingana na mahitaji yake ya kila siku, mpaka alipofariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku kwa siku mfalme wa Babeli alimpa Yehoyakini posho siku zote za maisha yake, hadi siku ya kifo chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme wa Babeli; kila siku alipewa posho hata siku ya kufa kwake, siku zote za maisha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daima alipewa posho na mfalme wa Babuloni kulingana na mahitaji yake ya kila siku, mpaka alipofariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku kwa siku mfalme wa Babeli alimpa Yehoyakini posho wakati wote wa uhai wake, mpaka siku ya kifo chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku kwa siku mfalme wa Babeli alimpa Yehoyakini posho siku zote za maisha yake, hadi siku ya kifo chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme wa Babeli; kila siku alipewa posho hata siku ya kufa kwake, siku zote za maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daima alipewa posho na mfalme wa Babuloni kulingana na mahitaji yake ya kila siku, mpaka alipofariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo mali za kujitunza kila siku akapewa na mfalme wa Babeli siku zote, alizokuwapo, akapata siku kwa siku yaliyompasa mpaka siku ya kufa kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme wa Babeli; kila siku alipewa posho hata siku ya kufa kwake, siku zote za maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zote alipewa posho na mufalme wa Babeli kulingana na mahitaji yake ya kila siku, mpaka alipokufa.