Jeremiah 52:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwa na chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwezi wa nne, siku ya kenda ya mwezi, njaa ilizidi sana ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwa na chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilipowadia siku ya tisa katika mwezi wa nne njaa ilikuwa kali sana ndani ya mji kiasi kwamba hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwezi wa nne, siku ya tisa ya mwezi, njaa ilizidi sana ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwa na chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwezi wa nne siku ya tisa njaa ikazidi mle mjini, watu wa nchi hii hawakuwa na vyakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwezi wa nne, siku ya kenda ya mwezi, njaa ilizidi sana ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya kenda ya mwezi wa ine, njaa ilikuwa kali sana katika muji hata hakukukuwa chakula chochote kwa ajili ya wakaaji wake.