Jeremiah 52:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka katika tambarare za Yeriko, jeshi lake lote likatawanyika na kumwacha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia Mfalme Sedekia na kumpata katika nchi tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakatengwa naye na kutawanyika,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata Sedekia katika nchi tambarare ya Yeriko, na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka katika tambarare za Yeriko, jeshi lake lote likatawanyika na kumwacha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia Mfalme Sedekia na kumpata katika tambarare za Yeriko. Askari wake wote walitengwa naye na kutawanyika,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia Mfalme Sedekia na kumpata katika sehemu tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakatengwa naye na kutawanyika,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata Sedekia katika nchi tambarare ya Yeriko, na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka katika tambarare za Yeriko, jeshi lake lote likatawanyika na kumwacha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vikosi vya Wakasidi vikamfuata mfalme na kupiga mbio, vikampata Sedekia katika nyika ya Yeriko, navyo vikosi vyake vyote vilikuwa vimetawanyika na kumwacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata Sedekia katika nchi tambarare ya Yeriko, na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kundi la Wakaldea lilimufuatilia mufalme na kumukamata katika bonde la Yeriko, waaskari wake wote wakatawanyika na kumwacha.