Jeremiah 52:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni, huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, naye akamhukumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akakamatwa. Akapelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, ambapo alimtangazia hukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamshika mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli, aliyekuwa huko Ribla katika nchi ya Hamathi, naye akatoa hukumu juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni, huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, naye akamhukumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akakamatwa. Alipelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla katika nchi ya Hamathi, mahali ambapo alimtangazia hukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akakamatwa. Akapelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mahali ambapo alimtangazia hukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamshika mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli, aliyekuwa huko Ribla katika nchi ya Hamathi, naye akatoa hukumu juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni, huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, naye akamhukumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamkamata mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribula katika nchi ya Hamati, akasema naye na kumhukumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamshika mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli, aliyekuwa huko Ribla katika nchi ya Hamathi, naye akatoa hukumu juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Wakaldea walimukamata mufalme, wakamupeleka kwa mufalme wa Babeli kule Ribla, katika inchi ya Hamati, naye akamuhukumu.